unaweka kumbukumbu wapi?Tatizo lako akili yako inafikiria kimo cha futi moja.
kufeli ni moja ya sifa ya elimu popote duniani.
NA WALA HAIJAWAHI KUSEMWA kuwa TATIZO NI SIASA.na hata ukisema bado wapo watakaofeli.
WEWE NDIYO UNAPENDA WATU KUFELI NA UMEFURAHIA HUYU KUDISCO NA UMEKUJA KUMVUA NGUO HAPA.
kwani umeshindwa nini kutoa ushauri wa jumla bila kutaja jina.
AMA KWA AKILI YAKO FUPI HUYU NI WA KWANZA KUDISCO?
roho yako imejaa wivu,chuki na kutu ya kishetani mana shetani ndio pekee hupenda kuona watu wakipata matatizo.
60%wamepata zero na 30% wamepata four,je nao ni siasa?Na kwa nini hujawataja hawa?Ama mtaani kwenu hakuna aliyepata zero?Ama four?Ama hakuna ndugu yako aliyepata kati ya haya madaraja?Je ndugu zako waliowahi kufeli nao walifanya siasa?
Mad mind