Hapo Zelensky na killer squad yake wanahusika watu hawajui tu, ni hivi: hivi sasa huko Ukraine na World community wanamshikiza Zelensky aitishe uchaguzi kwa kuwa kipindi chake cha kutalawa kiliisha. mwezi wa tano. mwaka jana lakini yeye anaendelea kug'ang'ania madarakani kwa kutoa visingizio mbali mbali moja wapo kikiwa kwamba nchi bado ipo vitani kwa hiyo ana anatumia sheria ya Emergency rule, hivyo ana wasi wasi kwamba akifanya makosa ya kuitisha uchaguzi uwezekano wa yeye kushinda ni mdogo sana anacho kifanya sasa ni kujaribu ku-eliminate watu ambao anawaona ni tishio kwake kama uchaguzi utahitishwa, nina wasi wasi Zelensky anaweza kufanya mpango wa kumu-eliminate hata Barozi wa Ukraine wa hivi sasa nchini Uingereza akifanya makosa ya kurudi nchini aidha kwenye likizo au matembezi huko Ukraine watamuua tu kwa kuwa anapendwa na mataifa ya magharibi pamoja na Raia wengi nchini Ukraine, lakini Barozi huyo amekuwa mjanja sana alipo fuatwa na vyombo vya habari na kuulizwa kama ana mpango wa kugombania Urasi alikataa kata kata kwamba hana nia hiyo wala Political ambition ya cheo chochote Serikalini, naona kauli hizo zita msave kutoka kwa mkono wa chuma wa Zelensky - Zelensky is a calculating killer akitumia vyombo vyake vya kijasusi ni hatari sana.