mbombo jilipo
kwenu ni wapi?
ziwa lipi?
Dah ubishi tunaomba usitokee maana tutaacha wenye kujua ngeli waconclude yaani kuburuzwa kwa kwenda mbele! Kama mambo ndo haya hata mkuu wao nae ngeli less twafwa!Wewe unashangaa ya spika tu! Heee! Wagombea je?
Kilichonisikitisha ni uwezo mdogo kabisa kabisa wa wanasiasa hawa kujieleza kwa lugha hiyo maana naamini walijiandaa.
Kumbe tatizo siyo hesabu tu, Nadhani tukiendelea kuwachunguza huenda hakuna kinachoeleweka bungeni.
Sasa naona chanzo cha wakenya kutuburuza huko East Africa Community. Kujieleza ni hivyo, je, ukizuka ubishi itakuwaje?
ndaga fijo
Naloli!