Spika Zungu afanya Mazungumzo ya kudumisha amani na Padre Kitima

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima.

Mazungumzo hayo yamefanyika leo tarehe 06 Julai, 2026 katika Ofisi za Makao Makuu ya TEC, Kurasini Jijini Dar es salaam ambapo pamoja na masuala mengine, wamezungumza kuhusu umuhimu wa kuendelea kudumisha Amani, Umoja na Mshikamano wa Taifa letu.

1783348814356.png

1783348876244.png

1783349067112.png
 
Amemuangalia na kumpa pole pale kichwani alipopigwa "magongo" na wakora?
NB: Serikali imeshindwa kujikamata yenyewe na wakora na wale wote watekaji na wauaji.Mazungumzo yaje kwa tija ya haki.
 
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima.

Mazungumzo hayo yamefanyika leo tarehe 06 Julai, 2026 katika Ofisi za Makao Makuu ya TEC, Kurasini Jijini Dar es salaam ambapo pamoja na masuala mengine, wamezungumza kuhusu umuhimu wa kuendelea kudumisha Amani, Umoja na Mshikamano wa Taifa letu.

7/7 effects
 
Back
Top Bottom