spika zungu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Spika Zungu: Mawaziri na viongozi waliokiuka taratibu za ununuzi wa magari waitwe na kuhojiwa, hatua zichukuliwe

    Spika wa Bunge, Mussa Azan Zungu, ameiagiza Kamati husika ya Bunge kuwahoji watumishi wa umma wanaodaiwa kukiuka Waraka wa Serikali wa mwaka 2021 unaoelekeza taratibu za ununuzi wa magari ya serikali, na kuchukua hatua stahiki dhidi yao. Zungu amesema kutokana na hali ngumu ya kiuchumi duniani...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tunaomjua vyema tukisema Haji Manara ni mwana Simba SC lia lia mnatubishia. Spika Zungu atamka kumpatanisha na MO Dewji

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Mbunge wa Jimbo la Ilala Mhe. Mussa Azzan Zungu, akimtania Diwani wa Kata ya Kariakoo,Haji Manara kuchukua jukumu la kumaliza mgogoro wake na Rais wa Heshima na Mwekezaji wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji (Mo Dewji), baada ya Manara...
  3. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Norway (Himanshu Gulati) akutana na Spika Zungu na Eric Shigongo, atembelea Serengeti National Park

    Mbunge wa nchini Norway, Himanshu Gulati ametembelea nchini Tanzania na kupata nafasi ya kukutana na Wanasiasa, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb) pamoja na Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo. Akielezea...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Spika Zungu afanya Mazungumzo ya kudumisha amani na Padre Kitima

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima. Mazungumzo hayo yamefanyika leo tarehe 06 Julai, 2026 katika Ofisi za Makao Makuu ya TEC, Kurasini...
  5. Inside10

    JamiiForums Tanzania Spika Zungu: Wananchi hawajawa na hamasa ya kuchagua Upinzani kipindi hiki

    Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu , amesema si sahihi kulinganisha Bunge la sasa na Mabunge yaliyopita kwa kuzingatia ukubwa wa mijadala pekee. Akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari leo Jumatano katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam kuhusu Maadhimisho ya Miaka 100 ya Chimbuko la...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Zungu ana busara na uwezo wa kuwa Spika? Aliruhusu matusi ya ajabu ya Wabunge dhidi ya Kenya, na sasa anaruhusu kauli ya ajabu ya Simai Said Bungeni

    Hivi Zungu ana ujuzi, uwezo na busara za kuwa Spika kweli? Mara ya kwanza nilipoona ana uwezo mdogo ni pale aliposimamia michango wabunge wakawa wanatoa matusi ya ajabu dhidi ya Wakenya. Alikaa kimya na kuvuka mipaka ya kuruhusu Wabunge waongee Bungeni bila kufuata kanuni za Bunge za Wabunge...
Back
Top Bottom