Tunaomjua vyema tukisema Haji Manara ni mwana Simba SC lia lia mnatubishia. Spika Zungu atamka kumpatanisha na MO Dewji

Tunaomjua vyema tukisema Haji Manara ni mwana Simba SC lia lia mnatubishia. Spika Zungu atamka kumpatanisha na MO Dewji

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,685
Reaction score
128,178

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Mbunge wa Jimbo la Ilala Mhe. Mussa Azzan Zungu, akimtania Diwani wa Kata ya Kariakoo,Haji Manara kuchukua jukumu la kumaliza mgogoro wake na Rais wa Heshima na Mwekezaji wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji (Mo Dewji), baada ya Manara kufanikiwa kumaliza uhasama wa miaka 31 kati ya Madrasa mbili za Kariakoo.

Zungu ameyasema hayo wakati wa hadhara ya Maulid iliyofanyika Msikiti wa Manyema, Ijumaa Oktoba 16, 2026, Jijini Dar es Salaam, huku akidai anaamini Manara ni Mwanasimba hasa na kuwa huko alipo sasa Yanga sio kwa Manara.
 
Back
Top Bottom