7/7 effectsSpika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima.
Mazungumzo hayo yamefanyika leo tarehe 06 Julai, 2026 katika Ofisi za Makao Makuu ya TEC, Kurasini Jijini Dar es salaam ambapo pamoja na masuala mengine, wamezungumza kuhusu umuhimu wa kuendelea kudumisha Amani, Umoja na Mshikamano wa Taifa letu.
Anatembea akipepesuka, siasa tamu sana aiseeHuyu zungu kumbe ni grandpa kabisa afanye kuachia jimbo
Duuuh amekuwa mbunge kwa muda inaoneknAnatembea akipepesuka, siasa tamu sana aisee