Tunaunga mkono hoja ya Spikq wa Bunge ya kuwataka watendaji wote wa Serikali kuiga mfano wa Mh. Rais dkt Samia katika kubana matumizi ya Serikali.
Spika amesema naye ameunga mkono kwa kubadilisha gari lake na ametawataka watendaji wote wa Serikali kubadili magari ya gharama kubwa.
Ushauri;
1. Magari ya watendaji wote wa serikali yabadilishwe.
2. Gharama za nyumba na funiture zipunguzwe.
3. Vikao na semina ziondolewe.
4. Posho za wabunge zipunguzwe.
5. Mishahara ya mawaziri ipunguzwee pamoja na maripurupu.
6. Viongozi wote watibiwe hapa nchini.
7. N.k