Tunaunga mkono hoja ya Spikq wa Bunge ya kuwataka watendaji wote wa Serikali kuiga mfano wa Mh. Rais dkt Samia katika kubana matumizi ya Serikali.
Spika amesema naye ameunga mkono kwa kubadilisha gari lake na ametawataka watendaji wote wa Serikali kubadili magari ya gharama kubwa.
Ushauri;
1...
"Serikali kwanza lazima ipunguze matumizi yasiyokuwa na lazima, vikao vya watumishi wa umma vya serikali sio lazima vifanyike kwenye kumbi binafsi au Hotel binafsi, tunaweza kutumia kumbi za shule, kumbi za Halmashauri, watu wabane matumizi, posho mbalimbali za viongozi wa serikali zipungue...
China hivi karibuni imetangaza kurekebisha Kanuni za Idara za Chama cha Komunisti cha China na Serikali za Kubana Matumizi na Kupinga Ufujaji, na kufafanua kuwa idara za Chama na serikali zinapaswa kubana matumizi, ili kuhakikisha rasilimali nyingi zaidi za umma zinatumiwa kwa ajili ya kuboresha...
Huyu ni Panyabuku maji, anaishi kwenye maji na nchi kavu.
Wakati mradi wa kujenga Bwawa la maji huko jamuhuri ya Czech ulikua umekwama kwa ajili ya vibali vya ujenzi kwa miaka 7, licha ya kupata ufadhili wa dola millioni 1.2 kukamilisha ujenzi huo
siku moja watu wa maeneo hayo waliamka asubui...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.