Spika Zungu familia yake ilipewa passport Ugiriki kwa kudanganya ni wasomali

Spika Zungu familia yake ilipewa passport Ugiriki kwa kudanganya ni wasomali

Kikinuka wao na akina Abduli wana mahali pa kwenda. Vipi sisi ambao hata passport hatuna? 😳

Wengi wao wana uraia pacha japo ni kinyume cha katiba!
 
Mbona wengi tu na tunawajua sana wana uraia wa nchi nyingine, Mkunda wakati akili bado anazo alitumaga ujumbe ila hatukumwelewa mapema , tulidhani anamuongelea namba 2 mstaafu kumbe sio
 
Wanaweza kuondoka wote, kila mmoja ana passport ya nje

Ni vile taasis zetu ni corrupted
Hilo ndio tatizo
Pale anapochunguzwa asiependwa na wengime au husda tu
Wengi sana wana uraia pacha haramu na sisi tunanyimwa

Watapigana rafu sana kisa yanauoendelea leo huko
 
Back
Top Bottom