Spirit bora zisizo na harufu baada ya kutumia

Ipi inanikisha mdomo??
 
Mwanangu big up.. unajua pombe zote za bei rahisi za kutaftia usingizi... kuna master pia mtaani... anyway robit safi kama hutaki kulala
Ulitakiwa uwe kazini vibaruani huko unachakarika. Yani taifa letu tuna zalisha vijana
 
Napenda sana niko mambele lakini nachangia katika ujenzi wa taifa kwa kutuma hela nyingi nyumbani. Nimerudi ghetto leo alfajir baada ya kuchakarika kwenye food deliver nilianza mchana jana ijuma. It is not easy

Ndio napenda wachakarikaji sio kujilalamisha bila sababu
 
Kila mtu na maamuzi yake na muda wake, wewe siyo kiranja humu ndani. Nenda kaandamane na wamachinga uone kama kuna mtu atakukataza, au kunywa hayo maji uone kama kuna mtu anajali. Bia tamu japo jamaa anazungumzia sipiriti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sema mimi sipigi spirit, nataka kujaribu Kiwingu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…