Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,585
- 15,468
Kwani kununua spirit dakika 1 inaisha?Huo muda wa kunywa hizo spirit mnatoaga wapi? Mbona watanzania mnapenda na kuendekeza sana anasa tu na wakati wengi wetu ni unproductive?
Wa machinga watanzania wenzenu sasa hivi wanaonewa na kuteseka nyie mmebaki kushadadia mispirit inayotengenezwa na dawa za kuhifazia maiti. Kama taifa Tunaelekea wapi?
Ukinywa maji tu utapungukiwa na nini?