Spirit bora zisizo na harufu baada ya kutumia

Kwani kununua spirit dakika 1 inaisha?
 
Ok sasa kama umeshafanikiwa unalia nini tena? Au una huruma sana na sisi?
 
Ww umejuaje mimi sizalishi mali? Napata wapi pesa ya kutumia? Ww na uzalishaji wako kama hutumii pesa unafikiri ina faida gani kwa jamii?
 
Mkuu ila wewe kuchakarika kwako ni kizembezembe. Hivi unafikishaga mzigo Congo kwa mda uliopangwa.
Russia wanakunywa sana pombe lakini ndio hao walifika mwezini kabla ya nchi yeyote.., kikubwa drink responsibly, Kwanza kupiga ulabu ni njia bora ya kuchangia mapato serikalini sasa wewe unapinga maendeleo..
 
Halafu ukute hapo we kutwa unashindia ngono na kubadilisha malaya!! Hopeless!
 
Napenda sana niko mambele lakini nachangia katika ujenzi wa taifa kwa kutuma hela nyingi nyumbani. Nimerudi ghetto leo alfajir baada ya kuchakarika kwenye food deliver nilianza mchana jana ijuma. It is not easy
Inaonekana kubeba mabox kumekuchanganya akili wewe; hebu tupumzishe japo kidogo
 
Hizo zako zinaonekana km siasa tu
Si ajabu hapo ulipo unaning'inia kwenye stool ndefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…