Spirit, confidence, elimu, uzalendo, unity - ona kijana mdogo wa Gen Z aliyekamatwa alivyotema madini alivyopandishwa kizimbani

Tanzania mnapewa elimu duni ndio ngao ya CCM msijitambue.
 
ukikuta wanaoitwa wasomi wakijadili Simba na Yanga utashangaa. Akili yote imo humo.
 
Wasomi wengi ni machawa
Wanasifia hadi mama na yeye anaona ni wazandiki
 
Kwa harakaharaka naona vijana wa kikenya kiakili na kimaamuzi ni next level, tofauti na mataifa mengine Afrika Mashariki, likiwemo Shamba la Bibi.

Sawasawa na Ligi... Vijana wa Kikenya ni daraja la kwanza, Shamba la Bibi daraja la Saba, Mchangani tena kuna mabondebonde viwanjani mwao.

Kijana amemaliza yote! Kanikosha zaidi alipoizungumzia na Congo, Kisha akasema "Inabidi sote tuamke kuipigania Afrika!... Sijui kwanini mnaendelea kuwaendekeza na Kuwaogopa hawa watu"

👍
 
Nionavyo mm vijana wa Kenya wa ss wanaopambania wanayoyapambania... matunda Yao yataonekana km rais atayafanyia kazi na n taifa litakuja kuwa Bora afrika mashariki nasi wa Tz tutaendelea kuchezeshwa kadamseee na CCM mpk tusemeee.,.
 
Kabisa
 
Nionavyo mm vijana wa Kenya wa ss wanaopambania wanayoyapambania... matunda Yao yataonekana km rais atayafanyia kazi na n taifa litakuja kuwa Bora afrika mashariki nasi wa Tz tutaendelea kuchezeshwa kadamseee na CCM mpk tusemeee.,.
wameshafanikiwa pakubwa sana hadi sasa, serikali imelazimika kubana matumizi kufidia pesa waliyotaka kuongezea kodi na kukopa nje.... main point Kumbe inawezekana kujibana
 
Yaan jamaa kafunguka Hadi sio poaa
 
Boss hawa wanaelewa wapi walipotoka, walipo na wanapoenda so huwezi wakamata kwenye hoja
 
Huyo jenzii ni mpuuz alitaka serikali impikie ugali ndo ajue serikali inafanya Kazi?
Soma ata historia ya nchi ya Faroes Islands yenye watu 51,000 uongeze maarifa....usidhani kazi ya serikali inaishia kwenye kukusanya kodi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…