wastani kwa idadi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 503
- 1,432
- Thread starter
- #61
Ni dalili ya umoja hii na kuacha alamaKaongea kwa uchungu sana....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni dalili ya umoja hii na kuacha alamaKaongea kwa uchungu sana....
Asante sanaBila kusahau Glass moja ya maji Safi na salama😊
Mchambuzi wa Soka anaonekana kaelimika kuzidi political analystukikuta wanaoitwa wasomi wakijadili Simba na Yanga utashangaa. Akili yote imo humo.
Wasomi wengi ni machawa
Wanasifia hadi mama na yeye anaona ni wazandiki
KabisaView attachment 3051096
Waliposema knowledge is power wakenya walichukua hili swala very serious,
Watz wengi hata hatujui kujieleza sababu hatufatilii Mambo ya Msingi yanayohusu maisha yetu. kiujumla
Huyu ni Gen Z kijana mdogo tu lakini waweza ona jinsi elimu ilivyomsaidia kujua nafasi yake, Uzalendo, kujiamini, na mengine kibao, Alikamatwa kwenye maandamano kapandishwa kizimbani mkono moja ukiwa na pingu, Hata hakimu wake hakuweza kumzuia, ilibidi polisi watumie mabavu...
wameshafanikiwa pakubwa sana hadi sasa, serikali imelazimika kubana matumizi kufidia pesa waliyotaka kuongezea kodi na kukopa nje.... main point Kumbe inawezekana kujibanaNionavyo mm vijana wa Kenya wa ss wanaopambania wanayoyapambania... matunda Yao yataonekana km rais atayafanyia kazi na n taifa litakuja kuwa Bora afrika mashariki nasi wa Tz tutaendelea kuchezeshwa kadamseee na CCM mpk tusemeee.,.
Ligi ikianza ndio kabisaNataman niende Kenya nikawasapoti ma gen z maana uku kwetu kushoto magoma kulia kibu
Yaan jamaa kafunguka Hadi sio poaaKijana katema haswa
Kwetu ni wachache sana wanaoweza kuongea haya
Hata wengi wa wapinzani zaidi ya matusi na kejeli na kusubiri jambo litokee ndio waongelee
Sisi tatizo tunazingatia sana upumbavu kama uchawi na mdau kasema kiswahili maana uswahili na uchawi na ujinga vinaenda pamoja
Hakimu mwenyew kadataWametuacha mbali sana hawa jamaa
Mungu amsaidie tu huko gerezani na alichofanya kiache alama na impact,He has been listening to the Motivational Speakers for a very longtime
Boss hawa wanaelewa wapi walipotoka, walipo na wanapoenda so huwezi wakamata kwenye hojaAbraham Lincoln's quote, "You can fool all the people some of the time and some of the people all the time, but you cannot fool all the people all of the time," suggests that while deception or manipulation may work temporarily on some individuals or groups, eventually the truth will be revealed, and people will see through the deceit. The quote emphasizes the idea that honesty and integrity are ultimately more powerful than attempts to mislead or deceive others.
Soma ata historia ya nchi ya Faroes Islands yenye watu 51,000 uongeze maarifa....usidhani kazi ya serikali inaishia kwenye kukusanya kodi tu.Huyo jenzii ni mpuuz alitaka serikali impikie ugali ndo ajue serikali inafanya Kazi?
Kiswahili ni kibantu.Aliyetuletea lugha ya kiswahili ndiyo alituloga, hii lugha inafanya watu wanakuwa wajinga haswa
NoSo kiswahili is cursed language ?