Spirit, confidence, elimu, uzalendo, unity - ona kijana mdogo wa Gen Z aliyekamatwa alivyotema madini alivyopandishwa kizimbani

Spirit, confidence, elimu, uzalendo, unity - ona kijana mdogo wa Gen Z aliyekamatwa alivyotema madini alivyopandishwa kizimbani

Soma ata historia ya nchi ya Faroes Islands yenye watu 51,000 uongeze maarifa....usidhani kazi ya serikali inaishia kwenye kukusanya kodi tu.
Mtu anakesha kwenye Udaku TV huko YouTube anafuatilia Kajala amefanya nini leo kuliko masuala ya msingi ya kitaifa,unategemea hata huo muda wa kuongeza maarifa ataupata..?
 
Wewe fala jiheshimu basi, unavyoona hilo jina ni la kike ?
Umewahi kwenda India ukaona watu hawakusanyiki kuongea Ujinga?? Nchi ambayo sio salama kwa watoto wadogo wa kike? Umewahi kwenda China ukaona watu hawadiscuss upuuzi, tiktokers wa US kila uchwao wanapost vitu vya kijinga na wanaongea English. Sometimes tumia maarifa kufikilia sio unawaza kama mtu aliyekatwa kichwa
I find no point of arguing with an ignorant Muppet like you. Fool!
Mbona sister kama umepanic? haya India na China mbona zinazidi kutajirika na kufanya vizuri kwenye technolojia? tuwape maua yao, sikatai hata kule wavivu wapo lakini ni % ndogo sn, sisi huku nyie wavivu ndiyo mpo wengi zaidi. Karibu
 
Kupata jamii inayo jitambua hivi tuanze na elimu, vijana unao waona sasa wanao deal na. Vitu vya kipumbav ni zao la education system tuliyonayo
MoU kati ya Kanisa na Serekali hasa katika sekta ya elimu unaona sio tatizo? Tuanze hapa
 
Hii nchi inawatu wasiojitambua wengi kama nyinyi mnaofikiri lugha inamchango wowote na kujitambua, wote ni wapuuzi na wachovu wa kufikiria
Ungelikuwa una akili wala usingenijbu kwa mihemko namna hii ungefikiria kwann nmeandka hvo ukapata jbu na ukanisapot, lkn Ulvokuwa hauna akili ndio umekuja namna hii.

Lugha yaweza kuwa ni ttzo sababu moja hatuchangamani na watu wa mataifa mengne sababu sisi ni waSwahili tusiozungumza kbs English hvo tunakosa exposures na hatuwezi kuwa kama raia wengine wanavojichanganya huko nchi za watu.
 
Kujichanganya na watu wengine na kujitambua inahusiana nn?? Asilimia kubwa ya wachina hawafahamu lugha nyingine isipokuwa kichina, hawajitambui pia ???
Fikiria kama binadam mwenye ubongo sio kama kiazi
 
Hahahahaha ni kweli kbs ,mie huwa nikikaa nae kuna maswali chokozi anakuuliza, ukojaribu kukwepa anakurudisha ktk swali mpk uumpe jibu kamili

Na km anatetea kitu anatetea kwa hoja
Broo English ni kila kitu hapa duniani kwanza inamfanya mtu ajiamini haswa, angalia Lissu, Chenge, Fatuma Karume, Maria Sarungi n.k ambao wamesoma nje wanajiamini sn, kutana na vichwa vya Udom, Jordan sijui wapi? hovyo tupu. Hakuna mtu amesoma degree nje anaendesha bodaboda hata mmoja ni graduate wa hapa ndani ndiyo wanaendesha bodaboda wakisubiri ajira za serikali, baada ya F4 peleka mwanao nje akasome hata diploma India, Norway, China au UK
 
Soma ata historia ya nchi ya Faroes Islands yenye watu 51,000 uongeze maarifa....usidhani kazi ya serikali inaishia kwenye kukusanya kodi tu.
Kipi ambacho serikali haijafanya wajibu wake mpaka muanze kuhamasisha maandamano?
 
Dogo kapiga kelele nyingi lkn hakuna hata point moja aliyoongea, jenzii wanaandamana na kuharibu nchi Yao kwa faida ya mahasimu ya Ruto, Hao Hao mahasimu wa Ruto hata wakishika kiti Bado hawatawaletea ugali mezani, jenzii wa kenya ni kizazi cha nyoka kilicholaaniwa na hakina adabu.
Akili kama hizi ndio zinafanya CCM watunyonye milele..!!!

#YNWA
 
Bongo sisi ni sikio la kufa, ukijichanganya umejitoa sadaka, familia yako itachekwa na kuteseka.
Hapana. Wakati vijana chuo kikuu walikuwa wakiandamana, sehemu kubwa ya jamii iliwaona wahuni. Nguvu kubwa sana iliwekezwa tangu awamu ya nne kufifisha hii spirit ya kupigania haki, ngoja tuvune matunda ya ukondoo wetu.
 
Hii damu ya wakenya lazima uzae matunda. Subirieni muone huko mbeleni mmeona Rwanda walivyomwaga damu. Namwambia ndani ya miaka 50 mtaomba msaada Rwanda. Hakuna cha bure lazima damu,jasho na machozi yatoke nchi ijengwe
 
Bongo tatizo uchawa mwingi, huko vyuoni zamani ilikuwa vijana wengi wanapinga ujinga wa CCM lakini wakatengenezewa zengwe la ajira bila kadi ya CCM hupati ajira.!

Ss hivi vyuoni UVCCM wengi yote kutafuta pa kutokea baada ya kumaliza labda wanaweza kupata hata utendaji wa mtaa/kijiji.
 
Na ccm kwa kulijua hilo watazidi kutoa elimu mbovu iendelee kuwa mtaji wao wa kung'ang'ania kuongoza hii nchi.
Maneno kama hayo ukiyaongea kwa msisitizo kwa lugha ya kiswahili unaonekana mhuni. Aisee kingereza kizuri sana na kinakupa uwanja mpana sana wa kutoa hisia zako bila kuonekana mhuni
 
Broo English ni kila kitu hapa duniani kwanza inamfanya mtu ajiamini haswa, angalia Lissu, Chenge, Fatuma Karume, Maria Sarungi n.k ambao wamesoma nje wanajiamini sn, kutana na vichwa vya Udom, Jordan sijui wapi? hovyo tupu. Hakuna mtu amesoma degree nje anaendesha bodaboda hata mmoja ni graduate wa hapa ndani ndiyo wanaendesha bodaboda wakisubiri ajira za serikali, baada ya F4 peleka mwanao nje akasome hata diploma India, Norway, China au UK
Hii ni kweli naunga mkono hoja
 
Hii nchi inawatu wavivu wa kufikiria, wachovu na wafu.
Watu wamekaa na vichwa vyao vidogo wanawaza kwamba eti English ndo itafanya watu wastaarabike! Fanya research yako, watoto wengi waliofika ngazi ya chuo kikuu walitoka shule za private na wamesoma kwa mtaala wa kiingereza na hakuna wanachokifanya zaidi ya kuslay. Lugha haina impact yoyote na akili za mtu, nasikitika kuona eti hawa ndo vijana wa hili taifa.
Mmekaa na vichwa vyenu vidogo mnawaza vitu vidogo vidogo tu
MAARIFA mengi yamefichwa kwenye lugha ya kiingereza

Haina namna uta skip au ku escape lugha ya kiingereza

Kusoma ni kujielimisha na MAARIFA mengi ya maana yapo kwa lugha ya kiingereza

Ngoja sisi tuendelee kukaa na tukichwa twetu tudogo 😅😅😂😂
 
Hii nchi inawatu wasiojitambua wengi kama nyinyi mnaofikiri lugha inamchango wowote na kujitambua, wote ni wapuuzi na wachovu wa kufikiria
Ukibadilisha setting ya simu au computer au laptop kwa kiswahili ambayo ni lugha mama ITAKUTOA JASHO 😊

Sasa translate masomo ya sayansi kwa kiswahili ndio utaona mziki wake kwenye kuelewa..

Lugha Ina nafasi Sana Sana Leo hii kidogo Sana ndio tumeanza kua RICH kwenye misamiati ya kiswahili...

Kaangalie professional zote duniani world wide zipo katika lugha ya kiingereza LAW, MILITARY,FINANCE,HEALTH tafiti nyingi zipo kwenye lugha ya kiingereza

NB.
Yaan uki amua kua kinyume nyume yaan ant_clokwise na dunia Endelea kubisha kua kiswahili vs kiingereza ipi ni lugha kubwa ulimwenguni na niya lazima world wide 🌎 🌍
 
Sikiliza dada angu, lugha ni kiungo muhimu sn bila mawasiliano hamtoboi, fanya research dada angu ni wapi umewahi kuta wanawake wa kihindi au kichina wamekusanyika mlangoni kusema watu au wanakunywa alkasusi wakafanye mapenzi?
Sasa benja, kama lugha ni kiungo, sasa mbona unakikana kiswahili? Kwani lengo si kuelewana? Mbona unanitatiza mkuu? Au unataka kupiga ndege wawili kwa jiwe moja?

Sio kila mahali ni pa kutia udini bwashee
 
Back
Top Bottom