Muki1
Member
- Nov 8, 2021
- 58
- 176
Mtu anakesha kwenye Udaku TV huko YouTube anafuatilia Kajala amefanya nini leo kuliko masuala ya msingi ya kitaifa,unategemea hata huo muda wa kuongeza maarifa ataupata..?Soma ata historia ya nchi ya Faroes Islands yenye watu 51,000 uongeze maarifa....usidhani kazi ya serikali inaishia kwenye kukusanya kodi tu.