The Eric
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 6,446
- 10,976
Waamini habarini,
Basi kama wewe huamini nguvu zilizopo ulimwenguni basi usipoteze muda na huu uzi maana utaazisha mada mpya tusizotaka.
Najiulizaga kwa kusikia na kuona kwa watu wakikinzana na huyu mnyama kwenye masuala ya mapepo.
Ifahamike nguruwe ni mnyama wa kufugwa ila binafsi nimekuwa nikimuona ana tabia za tofauti sana, mi kwangu huwa namuona ni mnyama asiyekuwa na ujanja au werevu kama wanyama wengine wafugwao. Yuko kama boya boya, yaani zezeta tu yaani no nerve kwake zaidi ya kupumua 😂😂😂 yaani amenenepeana sana vipi mapepo yanamshindwaje huyu boya.
Nakumbuka babu yangu aliishi na jamii ya wasiokula nguruwe zamani sana na alifariki miaka 36 iliyopita alisema msipende kilimo cha nguruwe sana, japo walikuja kufuga.
Wengi wanaanguka wakutanapo na huyu mnyama hasa wanawake, pia waganga baadhi hawaruhusiwi kutumia nguruwe.
Nguruwe anahusishwa vipi wakuu na mapepo. Achilia mbali wanyama kama paka, nyoka, fisi, na kanga mnyama(jamii ya kuku) wao wanatumika na wachawi kama support. Lakini nguruwe na mbwa wao ni wakinzani hawaendi sawa sawia na uchawi pia mbwa hapendwi na hawa mapepo kama ilivo kwa nguruwe.
Nasubiri waamini tu cc mshana mtani wangu.