mrekebishatabia
Member
- Aug 20, 2014
- 10
- 13

Hi Sporah! hongera kwa kuwa na kipindi chako kwa TV, ni hatua kubwa sana. Umeweza!! Japokuwa tunafurahia baadhi ya shows lakini nyingi zinaboa! Yeah unatafuta viewers lakini kwa njia ya uchonganishi haipendezi. Mfano: why don't you stick kwa theme ya mahojiano? Unamhoji fulani then unamuingiza mwingine kwa lengo la kuchimba kitu hasa masuala binafsi? Haipendezi hata kidogo. Unaweza kufanya zaidi bila kuchochea chuki. Kazi njema!!
Instagram mrekebishatabia