Sporah Njau acha uchonganishi kwa wasanii

Sporah Njau acha uchonganishi kwa wasanii

Joined
Aug 20, 2014
Posts
10
Reaction score
13
sporah.JPG

Hi Sporah!
hongera kwa kuwa na kipindi chako kwa TV, ni hatua kubwa sana. Umeweza!! Japokuwa tunafurahia baadhi ya shows lakini nyingi zinaboa! Yeah unatafuta viewers lakini kwa njia ya uchonganishi haipendezi. Mfano: why don't you stick kwa theme ya mahojiano? Unamhoji fulani then unamuingiza mwingine kwa lengo la kuchimba kitu hasa masuala binafsi? Haipendezi hata kidogo. Unaweza kufanya zaidi bila kuchochea chuki. Kazi njema!!

Instagram mrekebishatabia
 
colour aliyonayo ni ugonjwa wangu tosha ila huo mwili hapana maana kijungu hamna hapo
 
Na huo ni uchonganishi kwanini interview ya fulani aingize mwingine huo ni kutaftia watu ma bifu
 
Ni kweli, anayo sana hii tabia ya uchonganishi.
 
Back
Top Bottom