Sporah show Diamond akipasua yai

ENZO

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Posts
4,244
Reaction score
1,741
Nimeona tangazo la sporah show clouds tv itakayofanyika leo J4. diamond akiongea ung'eng'e wa hatare, kumbe jamaa sasa hivi kimombo kinapanda eeh

msisahau kufatilia mtupe update alichochapia!" au alichopatia.

by the way hivi mwana nae anajua kuongea hata sentensi moja ya kingereza kweli?! mana cjawahi kumsikia.

Grand PA
 
Kwani kuna ulazimagani wa kusema lugha ya Taifa jengine as long as lugha yako unaijua? kwanza kishwahili kizuri kama nini mtu akiongea...........
 
Kha,mashabiki wa ndomo mmezidi sasa...ingekua inawezekana mngetuwekea hadi clip yake akiwa anamgegeda madame....
 
Kwani kuna ulazimagani wa kusema lugha ya Taifa jengine as long as lugha yako unaijua? kwanza kishwahili kizuri kama nini mtu akiongea...........

kupasua yai raha ww ........... kama kimbau mbau unajiona bonge!

Grand PA
 
Kha,mashabiki wa ndomo mmezidi sasa...ingekua inawezekana mngetuwekea hadi clip yake akiwa anamgegeda madame....

Yan wananichosha...hatupumui kila siku domo na madame arrrgh😡
 
kwani kujua ngeli ni big deal? Mbona messi,tevez,di maria,neymar na wengine wengi bila kusahau wanasiasa wakubwa kama vile rais wa china,wakina angela merkhel hawajui ngeli lakini mambo fresh tu,anyway hongera kwa jamaa.
 
Namsubiri hapo saa tatu,,, siwezi kosa, kusikia broken english
 
Ulimbukeni tu!

Lionel Messi mwenyewe hajui Kizungu.

Source: Vincent Kigosi.

Haya maneno huwa mnayatoaga wapi! maana mbavu 1 yangu imesha pinda kwa kicheko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…