Sporah show Diamond akipasua yai


Safi sana mkuu upo sahihi kabisa
 
Last edited by a moderator:
kwani kujua ngeli ni big deal? Mbona messi,tevez,di maria,neymar na wengine wengi bila kusahau wanasiasa wakubwa kama vile rais wa china,wakina angela merkhel hawajui ngeli lakini mambo fresh tu,anyway hongera kwa jamaa.

Your argument is vague and void. Hawajui kizungu kwa vile hawana shida nacho..sio wahitaji kama sisi hapa bongo. Unajifananisha na hao world figures? Hahahah kijana unajidanganya mnoo, sisi shida zetu ndio zinafanya tuhangaike na kujua kutema yai
 

Natumia Opera Mkuu lakini plz pokea like yangu.
 
Last edited by a moderator:
Ukiona mtu ulimfaham Kanumba na Mchango wake katika bongo movie ,na Umemuona Diamond katika jitihada zake za Bongo flavor halafu Bado unashindwa kurecognise michango yao au unashindwa kupata somo lolote basi consider your self insane.

What I believe ni kuwa Diamond ana somo ambalo kila mmoja wetu anaweza jifunza kwake na kuapply ktk field yake.

Anasisitiza its not about talent ,its about hard working, nime agree 100%. Sababu kama ni talent we all know kuwa Kuna wasanii chungu Mzima wamemzid lakini bado yeye ndo anashine.

Na wewe unaesoma hapa " jua its not only Ur education ,skills or whatever Bt the combination btn hard work and Ur skills and education that will make you prosper.
 

Nani kakwambia Dstv clauds imo wewee..... heb rekebisha habr hapo sio unapga debe tu
 

Kuandika kote huko sio bure,
Niambie mshahara wake na mimi chibu aniajir
 
Last edited by a moderator:
Nani kakwambia Dstv clauds imo wewee..... heb rekebisha habr hapo sio unapga debe tu

Acha kuropoka usichokijua..ni wp mdau amesema clouds IPO dstv? Sporah show ni independent producer kama mboni show ..vpindi vyao vinanunuliwa na dstv!

Btw dogo ukimsikiliza kwa makini anajiuma uma mno na grammar inamsumbua! Ila anaonesha jitihada! Eti Davido ni the baddest musician in Africa! Good gooder goodest..teh
 

well said mkuu ......... watu wengine wanajitoa tu ufahamu hapa, ila wanaelewa.

Grand PA
 
Last edited by a moderator:

Haya ww uliyejipanga nisaidie mlopokaji mie, ni channel ipi inarusha kpnd cha sporah kwe Dstv ili na mie niwe naangalia?
 
Ulimbukeni tu!

Lionel Messi mwenyewe hajui Kizungu.

Source: Vincent Kigosi.

Sema hajui kiingereza (kama kweli). Kizungu chake ni kihispaniola (spanish).
 
kwani kujua ngeli ni big deal? Mbona messi,tevez,di maria,neymar na wengine wengi bila kusahau wanasiasa wakubwa kama vile rais wa china,wakina angela merkhel hawajui ngeli lakini mambo fresh tu,anyway hongera kwa jamaa.

Kijana usichanganye mambo. Akina Messi ... wana kihispaniola na kireno kama walivyotawaliwa huko nyuma. Na wanazimanya lugha hizo vilivyo. Nazo usidhani rahisi kuliko kiingereza; msingi wake mmoja. Hata hicho kiingereza chenyewe wanakijua cha kutosha lakini kama kihispaniola na kireno ni lugha za kimataifa haina shida wakizitumia zaidi.

Akina Merkel na Jinping mbali na kuwa na lugha zao, kiingereza wanakijua hasa - kwa waliopata bahati ya kuwasikia. Wanakwepa sana kukiongea hadharani kwa sababu ya jeuri ya uwezo wa nchi zao kiuchumi. Sie hatuna jeuri hiyo. Tunaweza kuwa nayo tukiamua. Lakini bado sana. Hivi sasa tumpe tano tu bwana mdogo kama na yeye amejitutumua. Kwa kifupi, kujua lugha nyingi ni mtaji wa uhakika wa kuiendeleza lugha yako. Ndio maana Kenya wanavuma zaidi kwa kiswahili kuliko sisi.
 
kwahiyo ile murano ni malipo ya domo kwa,mwalimu wake wa twisheni ya yai?...mwl ras simba madame....hongera teacher dent anavunja yai kaona akutupie zawadi ya murano kama malipo ya twisheni....ahahaaaa

Hahahaaaaaaaa utavamiwa na Team yake H.O.E na H.O.D
 

Mkuu kuna kimombo cha aina mbili formal na informal,Baddest unaweza kulitumia kama "The very Best at Something"

~~~~~~~~
1.
   
Baddest
Toughest, coolest.
Always used complimentary, unless used by
someone who has poor grammar and does not
know that the superlative form of "bad" is
"worst".
Ironically, "baddest" and "worst" are complete
opposites, despite the fact that at first glance,
they appear to be synonyms.
Don't mess with Harold, he's the baddest one
here!
by Rodney Basil July 10, 2004
     
 227  51
 
 Merch
Words related to Baddest
bad bad best best badder badder bitch bitch
sexy sexy macayla macayla worse worse worst
worst badest badest b.b.a. b.b.a.
 Random Word
2.
   
baddest
Supreme in status or standing. The very best at
something. The Ultimate Champion or Warrior.
Ultimate Title or Crown. The Highest Honor. The
Greatest.
The Champion of the World is the baddest dude
out there. The baddest dude is second to none.
by Reverend Thabiti November 28, 2005
     
 101  29
 
 Merch
3.
   
baddest
Wrong slang to say "the worst".
You be the baddest here!
by Fangsta December 15, 2003
     
 19  96
 
 Merch
4.
   
baddest
urban synonym for 'the worst'; alternatively it
may mean the best.
1. da baddest book-keeper
by dabaddestguy July 05, 2009
     
 33  46
 
 Merch
5.
   
Baddest
A woman who is in control of herself and her
sexuality or a sexually domineering woman.
A woman who is proficient at sensual and sexual
acts.
Watch out for her, she is a baddest.
by sketchokiri July 21, 2009
~~~~~~~~~~
 

Kabla ya ku comment muwe mnawaza mara mbili hiko mnachotaka ku post
 
Hakuna anayekilamba miguu Kiingereza lakini kwa hstoria ya Diamond ilivyo, leo hii watu wakaona anaongea lugha Kiingereza bila matatizo, ana-prove yale yanayosemwa na watu kwamba the guy is so determined kwa kile anachokihitaji. Wengi, hata wale mashabiki wake wanakubali si kwamba eti Diamond ndio mwanamziki mkali kuliko wote lakini kinachomweka kwenye chat ni determination yake... jamaa ni mtu wa ku-struggle na kujituma. Kuna Watanzania kibao leo wana shahada ya chuo kikuu waliyoipata zaidi ya miaka kumi iliyopita... ikionesha kwamba huyo mtu amekuwa kwenye matumizi ya Kiingereza kwa zaidi ya miaka 15 lakini bado hawezi kujieleza vizuri kama alivyofanya Diamond ambae miaka michache tu iliyopita hakuwa anafahamu! Huyu mwenye shahada anayeongea Kiingereza kwa taabu si kwamba hataki kuongea pasi na taabu lakini amekosa ujasiri na kujituma alikofanya Diamond hadi akaweza kuongea pasi na taabu!
 
Kabla ya ku comment muwe mnawaza mara mbili hiko mnachotaka ku post
Hajielewi bi mdada... cha ajabu anaanza kwa kusema "wenzetu Ulaya wanalipia madola kujifunza kiswahili..." Kitu ambacho hafahamu ni kwamba, kulipia dolali ili kufahamu Kiswahili wala haina maana kwamba hawazitaki lugha zao bali inaonesha watu wanavyo-struggle kufahamu lugha za kigeni kama alivyofanya Diamond ku-struggle kukifahamu kizungu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…