Sporah show Diamond akipasua yai

Ni wakati wao waacheni wapete tuuu...!
 

People should learn how to appreciate.........
 
yani mtu anaanzisha thread ili kuangalia "kachapia wapi" badala ya "kapatia wapi". hii ndio bongo.
 

mdada unachoshindwa kuelewa kwamba kiingereza Ni lugha km kisukuma ILA tofauti iliyopo kiingereza Ni potential language dunia nzima ,kataa kubali ukwel hautobadilika
 


A million dollar WORTHY POST..HONGERA mKUUUUUUUUUU........... :A S crown-1:
 
Naona huku jamii tumeingiliwa kwan huku tunapaswa kujadil mambo yenye tija na si umbea ,hiyo mada ipeleke facebook.over!
 

Sasa wenzetu wakilipia Madola ili kukijua kikwetu, ni makosa na sisi tukilipia Madola ili kukijua kikwao?

What's your point my dear?
 

Sasa wewe unategemea mtu aliyejifunza Kiingereza mtaani tena ukubwani asisumbuliwe na grammar? Hao graduates tu kibao tunaona kiingereza kinawashinda. Acheni roho mbaya dogo anajitahidi bwana, halafu watu hawajui kuwa kuongea mbele ya camera sio kitu rahisi. By the way neno "baddest" wasanii hata wa marekani huwa wanalitumia sioni tatizo liko wapi ni lugha tu ya mtaani.
 
Ila aisee hata mimi nilimtazama na kumsikiliza dogo! Kwa kujua kule alikotoka, Diamond amepiga hatua sana kwa kiwango alichoongea! Hongera bwanamdogo!
 
Bado utumwa wa fikra umetawala vichwa vya wengi kumbe!
 
Naona huku jamii tumeingiliwa kwan huku tunapaswa kujadil mambo yenye tija na si umbea ,hiyo mada ipeleke facebook.over!

Watu kwa kujifanya mko serious!!!!!!!!!!!!! hata hayo mambo yenye tija yaweze3kana huyajui kwasababu tukileta mada unayodhani ina tija sidhani kama utachangia chochote cha maana, zaidi uta gonga like tu.
 

Mbona kingereza ni lugha kama lugha nyingine tuckomplecate wa kuu
 
Ila aisee hata mimi nilimtazama na kumsikiliza dogo! Kwa kujua kule alikotoka, Diamond amepiga hatua sana kwa kiwango alichoongea! Hongera bwanamdogo!

Frankly speaking kwa kweli hata mimi kanivutia, it took few minutes kuamini if that was the same diamond of yesterday, khaa kwa kweli anajitahid sana, safi sana diamond, mungu akubariki ufanikiwe, maana miaka ya juzi ukihojiwa kimondo had unatia huruma, big up kwa kweli
 
Jamaa Domo yupo vizuri sana kwa ngeli nimemkubali,kiranga na Nyani watatusaidia kugundua makosa ya kiufundi zaidi ila domo yupo safi big up wema kwa kumnoa!

mmh!! Hapana kwa kweli kile kiingereza ingekuwa imeandikwa halafu watu wakasema ndo diamond kasema vile, ningebisha hadi siku ya mwisho, meen it was amazing, kwa kweli nilibaki naduwaa is this diamond of tandale? Who has never went to any english medium school? Yule mburulaz? Duh kwa alipofikia kwa kweli he is doing much bettr, kanishangaza
 

NDo nilikuwa naangalia apa clouds, mi uwa simkubali ndomo ata, ila kwa lugha kwa kweli kanishangaza sana, he is doing well kwa kweli, nimempenda bure, mungu amasaidie aisee, kweli nimeamini hakuna kinachoshindikana duniani, its another big step kwa kwel, he deserves shout out
 

what is your point??? kwa vile wanzungu wanapigana kujua kiswahili hivyo sisi hatuna haja ya kujifunza tena kingereza??? jipange upya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…