Sporah show Diamond akipasua yai

Wachina na Wajapan wengi hawajui kizungu. Mbona hamuwacheck? Na wanatutawala kichumi hata ndala wanauza mitaani.
 

unataka awe fluent kama 50 cent kwani yeye kazaliwa huko kwao jamani tunasema kijana kajitahidi ukizingatia kuwa kajifunzia ukubwani, watanzania wooote waliosoma sent kayumba (na ndio wengi wetu) hatujui kingereza na wote tunatamani kukijua (labda kwa wale ambano hawana mpango wa kutoka nje ya mipaka)
 
Naona huku jamii tumeingiliwa kwan huku tunapaswa kujadil mambo yenye tija na si umbea ,hiyo mada ipeleke facebook.over!

ushauri wa bure: usiwe unavutia bange chooni. bange na harufu ya mavi vikichanganyika vinaharibu akili.

Grand PA
 
Wachina na Wajapan wengi hawajui kizungu. Mbona hamuwacheck? Na wanatutawala kichumi hata ndala wanauza mitaani.

hayo mataifa yao tayari yanajiweza kiuchumi, kwa sisi tunaotegemea misaada lazima tuwe watumwa tu ..........

Grand PA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…