Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
- Thread starter
-
- #81
Wazee mliopapaswa ‘lidala’ na nyie leo mmejiokotea kibonde .....,,, hahaaaa
Kama kawaida yenu simba, magoli2 ya offside, yaani simba kucheza na marefa tuu hamjambo, ndiyo maana kwenye fair ground mnabugizwa ‘dala dala’ nyambafu zenu nyie!!!!!!
Yule straker ni bure kabisa, ila ile beki inajua.Wapenzi wa Simba mliotizama Mechi ya leo, mnaonaje Uwezo wa wale Wachezaji Wageni?
Kakojeo kalale wewe. SIMBA hafungwi nyumbani kama mabondia f.c.Wazee wa Hamsa leo zitapunguwa halafu hamsa zingine zinawangoja Cairo
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba sasa wanatakiwa walete Wachezaji wenye kiwango cha juu.
Simba hua hatuko siriaz kwenye usajiri.Simba sasa wanatakiwa walete Wachezaji wenye kiwango cha juu.
Libolo umesahau alivyowakojoleaKakojeo kalale wewe. SIMBA hafungwi nyumbani kama mabondia f.c.
Kelele za unbeaten zimekwisha. Sasa bikira imetoka kipusa anagawa tu. Hajali mwenyeji wala mgeni.Wote wala tu.
Bondia pole. Najua kutolewa koki bado unauguza. Kila mtu anajilia sio mgeni sio mwenyeji. Kipusa kajifunza utamu.ngapi huko?
kila la heri FC LEOPARDS
Kama kawaida yenu simba, magoli2 ya offside, yaani simba kucheza na marefa tuu hamjambo, ndiyo maana kwenye fair ground mnabugizwa ‘dala dala’ nyambafu zenu nyie!!!!!!
Simba 2-1 Leopardngapi huko?
Kumbe mliwahi kupigwa 8 bila na enyimba, kumbe kitamboo mlianza kuliabishaa taifa, nyambaf kabisaa,Kweli ww hujui mpira na bahati mbaya kwako hufatilii football. Hakuna timu duniani haijafungwa na haifungwi. Si Real Madrid, Barcelona, Manchester City, Liverpool na yyte ile
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe mliwahi kupigwa 8 bila na enyimba, kumbe kitamboo mlianza kuliabishaa taifa, nyamvaf kabisaa,