Sportpesa Cup: Simba SC vs Leopard

Sportpesa Cup: Simba SC vs Leopard

Wapenzi wa Simba mliotizama Mechi ya leo, mnaonaje Uwezo wa wale Wachezaji Wageni?
 
Yaaani simba ni litimu la ovyo ovyo tuu linalo ongozwa kiujanja ujanja tuu ndiyo maana juzi kati limepapaswa 5 na wale wacheza sebene, sasa linasubiri kuchakazwa 12 bila na wamisri
 
Back
Top Bottom