Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
- Thread starter
- #141
Afadhali imesaidiabarua imetoka tff wanasema jamaa wana leseni.. hivyo leopard wamesepa marefu
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afadhali imesaidiabarua imetoka tff wanasema jamaa wana leseni.. hivyo leopard wamesepa marefu
Shauri lako. Mnakawia basi kusema sijui uchawi sijui nini na nini. 😜😜
Unaanza kujihamiShauri lako. Mnakawia basi kusema sijui uchawi sijui nini na nini. [emoji12][emoji12]
Sio kujihami ile mechi ya kwanza Ajib alipotoa tu mpira nje mlisema tayari ni maelekezo toka kwa Mganga. Au hamkusema hivyo?
Ni tukio la nadra ndio maanaSio kujihami ile mechi ya kwanza Ajib alipotoa tu mpira nje mlisema tayari ni maelekezo toka kwa Mganga. Au hamkusema hivyo?
Ila mkuu me sio simba mwenzako!..nimetoa tuu taarifa.. 😂😂elewa hivoo
Ooh. Basi mtegemee lingine round ya pili.
Hata kule final Europe yule jamaa wa Olympic maseiler alitoa kama ajibu vile vile!..Sio kujihami ile mechi ya kwanza Ajib alipotoa tu mpira nje mlisema tayari ni maelekezo toka kwa Mganga. Au hamkusema hivyo?
😀😀😀 hawakuiona hiyo itakuwaHata kule final Europe yule jamaa wa Olympic maseiler alitoa kama ajibu vile vile!..
Sawa. Uwepo tu
tukutane saa 8 team bandari hapa😀😀😀 hawakuiona hiyo itakuwa
Ewaaaaatukutane saa 8 team bandari hapa
Hahahaaa. Kama nakuona vileee. 🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hutuach tupumzike[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimekutag kule njoo bana. 😎