Sportpesa Super Cup: Kariobangi Sharks FC 2-3 Simba SC, uwanja wa Afraha. Simba inasonga hatua ya nusu fainali

Hahahaaaaa. Ni mapito tu hayo Kaka Mtani.
Amini usiamini Leo tunaibuka kidedea ndo ujue "this is Simba" ( in Manara's voice) [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Amini usiamini Leo tunaibuka kidedea ndo ujue "this is Simba" ( in Manara's voice) [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nipo hapa nasubiri updates kaka nione mtakavyoshinda. [emoji12] [emoji12].

Pia niseme tu hamchezi na timu kama Njombe Mji. Hahahaaaaa.
 
Nipo hapa nasubiri updates kaka nione mtakavyoshinda. [emoji12] [emoji12].

Pia niseme tu hamchezi na timu kama Njombe Mji. Hahahaaaaa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] subiri uone wataalam wa soka wanavyotoa kipondo cha mbwa koko! Yanga njaa imezidi!

Wakitufunga unitag!
 
simba anashinda 2-0
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] subiri uone wataalam wa soka wanavyotoa kipondo cha mbwa koko! Yanga njaa imezidi!

Wakitufunga unitag!
Hahahaa. Eti Wataalam lol.

Usijali kaka. Ntakutag. Mie tena. Hahaaaa.
 
Simba mwaka huu wao wachukue vihera hivyo na watacheza na timu gani majuu huko......ila Simba anashinda 2-0 kaliobangi
Unaangalia game yenyewe lakini Mkuu au unasema tu watashinda mbili.

Kama bahati ni yao huenda wakashinda ila nje ya hapo. Sioni dalili Mkuu.
 
Huu mpira wenyewe labda itokee tukashinde kwa matuta tu naona uwanja nao hauvutii Sana kuweka mpira chini.

So far jamaa wako vizuri kiasi kutuzidi wametengeneza nafasi nyingi zawazi zakufunga,.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…