Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hawaonyeshi Mkuu ila kuna hizo Channel za Kenya zinaonyeshaStar tv??? longtime nilishailock, hivi Azam Tv hawaoneshi???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawaonyeshi Mkuu ila kuna hizo Channel za Kenya zinaonyeshaStar tv??? longtime nilishailock, hivi Azam Tv hawaoneshi???
Hahahaaaaa. Ni mapito tu hayo Kaka Mtani.Anguko lenu baya sana( wakimataifa) saivi kila mnapogusa mnapigwa tu.
Amini usiamini Leo tunaibuka kidedea ndo ujue "this is Simba" ( in Manara's voice) [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaaaaa. Ni mapito tu hayo Kaka Mtani.
Nipo hapa nasubiri updates kaka nione mtakavyoshinda. [emoji12] [emoji12].Amini usiamini Leo tunaibuka kidedea ndo ujue "this is Simba" ( in Manara's voice) [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] subiri uone wataalam wa soka wanavyotoa kipondo cha mbwa koko! Yanga njaa imezidi!Nipo hapa nasubiri updates kaka nione mtakavyoshinda. [emoji12] [emoji12].
Pia niseme tu hamchezi na timu kama Njombe Mji. Hahahaaaaa.
Leo michuano ya Sportpesa inaendelea huko Nairobi baada ya timu mbili za Tanzania, Yanga na JKU kuondoshwa hapo jana.
Yanga iliyoondoshwa kwa kipigo cha mbwa koko cha goli 3-1 huku JKU ikipata kipigo cha mbwa mwizi cha 3-0 huku zote zikifungashiwa virago kurejea nyumbani.
Leo timu mbili za Tanzania zitashuka dimbani, mabingwa wa Tanzania Bara Simba SC watakipiga dhidi ya K.Sharks huku Singida united wakipiga dhidi ya AFC Leopards. Mechi ni saa 9 kamili alasiri
Swali linabaki je, Simba itafanikiwa kuliokoa jahazi hili la Tanzania?
Kikosi cha simba kimetoka
18' Matokea bado ni 0-0
Fuatilia moja kwa moja hapa;
Hahahaa. Eti Wataalam lol.[emoji23] [emoji23] [emoji23] subiri uone wataalam wa soka wanavyotoa kipondo cha mbwa koko! Yanga njaa imezidi!
Wakitufunga unitag!
Haya wori auti, [emoji120] [emoji120]Hahahaa. Eti Wataalam lol.
Usijali kaka. Ntakutag. Mie tena. Hahaaaa.
Oukey braza.Haya wori auti, [emoji120] [emoji120]
Sesten Zakazaka, Ghazwat, aminas, King Ngwaba Mshuza2, barafuyamoto, 3llyEmma , OKW BOBAN SUNZU kila la kheri kwenu Watani zangu
Simba mwaka huu wao wachukue vihera hivyo na watacheza na timu gani majuu huko......ila Simba anashinda 2-0 kaliobangiOukey braza.
Hatupoi...Sesten Zakazaka, Ghazwat, aminas, King Ngwaba Mshuza2, barafuyamoto, 3llyEmma , OKW BOBAN SUNZU kila la kheri kwenu Watani zangu
Hahahaaaaa. Bora umeanza kuguna. Sababu yajayo kwa mbaali yanasikitisha Mtani.Mtani leo mmh..aibu naona Mimi!
Unaangalia game yenyewe lakini Mkuu au unasema tu watashinda mbili.Simba mwaka huu wao wachukue vihera hivyo na watacheza na timu gani majuu huko......ila Simba anashinda 2-0 kaliobangi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lol.Hii ni Simba au Ndanda,wanacheza madudu gani haya,fowad hakuna,dimba la kati hakuna kabisa
Yupo Niyo na MkudeHii ni Simba au Ndanda,wanacheza madudu gani haya,fowad hakuna,dimba la kati hakuna kabisa