Sportpesa Super Cup: Kariobangi Sharks FC 2-3 Simba SC, uwanja wa Afraha. Simba inasonga hatua ya nusu fainali

Nasikia dk 90 tayari, yamepewa dk 6 yabadili matokeo. Mikia bana, yatakuja na soga, sisi tumetoa droo
Hahahaaa. Utawaweza hao. Kama wamemwagiwa maji vile leo.

Na hata wakipita bado kazi wanayo tena sio ndogo.
 
Matokeo ni siri kama mikataba ya madini na gas zilizopitishwa na nyinyiemu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…