Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahaaa. Utawaweza hao. Kama wamemwagiwa maji vile leo.Nasikia dk 90 tayari, yamepewa dk 6 yabadili matokeo. Mikia bana, yatakuja na soga, sisi tumetoa droo
Na hata wakipita bado kazi wanayo tena sio ndogo.