Atakuwa choko huyo jamaa, simba ni moto mwingine level za Timberland wasitufananishe na kandambiliAcha kufananisha Simba na vitu vya ovyo ovyo
Hahahaaa. Bahati tu ilikuwa kwenu leo.Mama simba kashamaliza kazi
Hahaaaa. Kwenye Simba na Yanga sina hata chembe ya Uzalendo Mkuu.Hahaaa! easy mkuu.Nahoji uzalendo wako
Hahaaaa. Nimekununia hapa hujui tu Mtani.Hahahahahaha,
Unajua Mi Nakukwepa Kwepa Wapi Daah!
Hongera Simba Mola Azidi Waongoza Ivi Ivi InshaAllah.
Za Swaumu Mtani?? Nasubiri Mualiko Wa Uji Etii.
Hongereni mno japokuwa sio siri leo Mlikuwa tia maji tia maji Mtani.Hahahahahaha,
Unajua Mi Nakukwepa Kwepa Wapi Daah!
Hongera Simba Mola Azidi Waongoza Ivi Ivi InshaAllah.
Za Swaumu Mtani?? Nasubiri Mualiko Wa Uji Etii.
Hahahaaa. Nipo kaka.Upooooooooo!! SSC forever
Hahaaaaa. Hivi kaka ake Hajar na kile ni kipondo eti? [emoji12] [emoji12]Mwaka wetu, tunagawa kipondo nje ya mipaka
Mi Pia Mtani Nilikumis Saana Yaani Mpaka Najisikia Vibaya Etii.Hahaaaa. Nimekununia hapa hujui tu Mtani.
Namshukuru Allah Swaumu Alhamdullilah iko poa. Sijui upande wako Mtani?
Karibu sana sana sana. Ila nilikumiss aisee.
Hahahahha Ata Mpira Wenyewe Sijauangalia Tag Yako Ile ndo Ilinishtua Nikianza Kufatilia Magori Tuu.Hongereni mno japokuwa sio siri leo Mlikuwa tia maji tia maji Mtani.
Pole sana Mtani ila nimefurahi kukuona sio siri.Mi Pia Mtani Nilikumis Saana Yaani Mpaka Najisikia Vibaya Etii.
Kifaa Ninachotumia Kiananisumbua Naingia Jf Kwa Mshtuko Ndomana Ukaniona Kimya, Nisamehe Mtani Wangu.
Swaumu Pia Nashukulu Allah Ndo Yaendee Mwisho Ivyo,
Ntakaribia Kwa Uji.
Hahahaaaa. Lol.Hahahahha Ata Mpira Wenyewe Sijauangalia Tag Yako Ile ndo Ilinishtua Nikianza Kufatilia Magori Tuu.
Ila Tunshkulu.
Nawe pole Mtani Kwa Jana.
Nimekurupuka.....Hahahahaha....Umeangalia mechi au umekurupuka?
Hahahaa. Lol
Tayari wameshatutoa kimasomaso waTanzania...Wameshindwa kuthibitisha mbele ya Rais Magufuli ndio sembuse huko nchi jirani.
Hahahaaa. Bahati tu ilikuwa kwake leo.
Ajipange wa Gormahia sasa.
Mmh.Tayari wameshatutoa kimasomaso waTanzania...