Sportpesa Super Cup: Kariobangi Sharks FC 2-3 Simba SC, uwanja wa Afraha. Simba inasonga hatua ya nusu fainali

Hahahahahaha,

Unajua Mi Nakukwepa Kwepa Wapi Daah!

Hongera Simba Mola Azidi Waongoza Ivi Ivi InshaAllah.

Za Swaumu Mtani?? Nasubiri Mualiko Wa Uji Etii.
Hahaaaa. Nimekununia hapa hujui tu Mtani.

Namshukuru Allah Swaumu Alhamdullilah iko poa. Sijui upande wako Mtani?

Karibu sana sana sana. Ila nilikumiss aisee.
 
Mi Pia Mtani Nilikumis Saana Yaani Mpaka Najisikia Vibaya Etii.

Kifaa Ninachotumia Kiananisumbua Naingia Jf Kwa Mshtuko Ndomana Ukaniona Kimya, Nisamehe Mtani Wangu.

Swaumu Pia Nashukulu Allah Ndo Yaendee Mwisho Ivyo,

Ntakaribia Kwa Uji.
 
Hongereni mno japokuwa sio siri leo Mlikuwa tia maji tia maji Mtani.
Hahahahha Ata Mpira Wenyewe Sijauangalia Tag Yako Ile ndo Ilinishtua Nikianza Kufatilia Magori Tuu.

Ila Tunshkulu.

Nawe pole Mtani Kwa Jana.
 
Mi Pia Mtani Nilikumis Saana Yaani Mpaka Najisikia Vibaya Etii.

Kifaa Ninachotumia Kiananisumbua Naingia Jf Kwa Mshtuko Ndomana Ukaniona Kimya, Nisamehe Mtani Wangu.

Swaumu Pia Nashukulu Allah Ndo Yaendee Mwisho Ivyo,

Ntakaribia Kwa Uji.
Pole sana Mtani ila nimefurahi kukuona sio siri.

Hongereni bana kwani ilikuwa bahati yenu leo.

[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Hahahahha Ata Mpira Wenyewe Sijauangalia Tag Yako Ile ndo Ilinishtua Nikianza Kufatilia Magori Tuu.

Ila Tunshkulu.

Nawe pole Mtani Kwa Jana.
Hahahaaaa. Lol.

Pole kwa kutouangalia kwani nikujuavyo ungezima Tv sababu koswa koswa zilikuwa si za kitoto.

Ahsante sana nshapoa Mtani. Naganga yajayo sasa sababu hakuna jinsi.
 
Back
Top Bottom