Leo michuano ya Sportpesa inaendelea huko Nairobi baada ya timu mbili za Tanzania, Yanga na JKU kuondoshwa hapo jana.
Yanga iliyoondoshwa kwa kipigo cha mbwa koko cha goli 3-1 huku JKU ikipata kipigo cha mbwa mwizi cha 3-0 huku zote zikifungashiwa virago kurejea nyumbani.
Leo timu mbili za Tanzania zitashuka dimbani, mabingwa wa Tanzania Bara Simba SC watakipiga dhidi ya K.Sharks huku Singida united wakipiga dhidi ya AFC Leopards. Mechi ni
saa 9 kamili alasiri
Swali linabaki je, Simba itafanikiwa kuliokoa jahazi hili la Tanzania?
Kikosi cha simba kimetoka
Fuatilia moja kwa moja hapa;