Sportpesa Super Cup: Kariobangi Sharks FC 2-3 Simba SC, uwanja wa Afraha. Simba inasonga hatua ya nusu fainali

Sportpesa Super Cup: Kariobangi Sharks FC 2-3 Simba SC, uwanja wa Afraha. Simba inasonga hatua ya nusu fainali

Wameshindwa kuthibitisha mbele ya Rais Magufuli ndio sembuse huko nchi jirani.

Wewe una wazimu siyo bure.
Magufuli hajui bingwa ni nani?.. au wewe taja bingwa wa vpl msimu huu.
We kijana wa akilimali sio?
 
Kakamega Homeboyz is set to get the tourney rolling on Sunday, June 3, 2018, with a match against Yanga at 1 pm, before Gor Mahia face JKU SC at the same venue starting 3.15 pm.

On Monday, June 4, 2018, Simba SC will face Kariobangi Sharks starting at 3 pm, with AFC Leopards completing the quarterfinal fixtures with the match against Singida United on Tuesday, June 5, 2018.

Nimegundua hata MIKIA hawajui ratiba ya timu yao. Leo ni saa 9 alasiri
 
Mmh. Kaka ake kumbe na weye upande wa pili ni Mtani wangu.

Haya kila la kheri. Ila kwa mbaali mkifungwa ndio furaha kwetu wana Jangwani. Hahaaaa.
Siye tunawaiteni vyuraaaa[emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] hahaaa
 
Mbona kimya sasa tutangazieni Mechi basi.

Au ndio mpaka mpate goli ndio mnakuja. Njooni wale wote ambao huwa mnaojinadi na Simba yenu.

Watani zangu mko wapi sasa. [emoji12] [emoji12]
 
Leo michuano ya Sportpesa inaendelea huko Nairobi baada ya timu mbili za Tanzania, Yanga na JKU kuondoshwa hapo jana.

Yanga iliyoondoshwa kwa kipigo cha mbwa koko cha goli 3-1 huku JKU ikipata kipigo cha mbwa mwizi cha 3-0 huku zote zikifungashiwa virago kurejea nyumbani.

Leo timu mbili za Tanzania zitashuka dimbani, mabingwa wa Tanzania Bara Simba SC watakipiga dhidi ya K.Sharks huku Singida united wakipiga dhidi ya AFC Leopards. Mechi ni saa 9 kamili alasiri

Swali linabaki je, Simba itafanikiwa kuliokoa jahazi hili la Tanzania?

Kikosi cha simba kimetoka

View attachment 793691

Mechi imeanza tayari
Weka link basi tufuatilie uwanjani, nitazuga niko busy na ripoti kumbe nipo live KENYA
 
Leo michuano ya Sportpesa inaendelea huko Nairobi baada ya timu mbili za Tanzania, Yanga na JKU kuondoshwa hapo jana.

Yanga iliyoondoshwa kwa kipigo cha mbwa koko cha goli 3-1 huku JKU ikipata kipigo cha mbwa mwizi cha 3-0 huku zote zikifungashiwa virago kurejea nyumbani.

Leo timu mbili za Tanzania zitashuka dimbani, mabingwa wa Tanzania Bara Simba SC watakipiga dhidi ya K.Sharks huku Singida united wakipiga dhidi ya AFC Leopards. Mechi ni saa 9 kamili alasiri

Swali linabaki je, Simba itafanikiwa kuliokoa jahazi hili la Tanzania?

Kikosi cha simba kimetoka

Fuatilia moja kwa moja hapa;

Kwa upangaji mbovu wa Kikosi, Simba SC kuyadharau haya mashindano na kuwaacha baadhi ya Wachezaji, Wachezaji wenyewe kuonekana hawapo ' Serious ' na wana ' Complacency ' ya hali ya juu na mfumo wanaoutumia leo katika mchezo huu sitoshangaa kuiona ikifungwa na Wao Kesho kurejea mitaa ya Msimbazi kujipanga na mengineyo.

Timu haiko vizuri na inacheza mpira wa hovyo, mbovu ambao sijawahi kuuona.
 
Back
Top Bottom