Chiwaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 5,726
- 3,778
kadandia train kwa mbele huyuUmeangalia mechi au umekurupuka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kadandia train kwa mbele huyuUmeangalia mechi au umekurupuka?
Vipi simba kalalaHahahaaaaa. Watani zangu mje sasa jamaani lol
ndio.Simba kafungwa?
Hii sio yanga! Ni Simba.Leo tunawakalisha hao mapimbi
Hahahaaa. Wameanza kuja eti wakati walikimbia.Matokeo ni siri kama mikataba ya madini na gas zilizopitishwa na nyinyiemu
Ili iweje??Vipi simba kalala
Hahahaaa. Kaamka kibahati aiseee. LolVipi simba kalala
Penalt shout out.
Kwa hiyo mleta updates anadanganya?Ili iweje??
Kashinda kwa penati 3 kwa 2.
Mungu ni mwema, wachukue kombe watutoe kimasomasoIli iweje??
Kashinda kwa penati 3 kwa 2.
Ila kiukweli simba wamecheza mpira mbovu sana, hao jamaa ni hawana uzoefu na umakini golini ndio maana wameshindwa.Mungu ni mwema, wachukue kombe watutoe kimasomaso
Kwani ungefurahi kama wangetoka???Hahahaaa. Kaamka kibahati aiseee. Lol
Hahaaaa. Mbona imegeuka Interview sasa Mkuu?Kwani ungefurahi kama wangetoka???