Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole mhanga mwenzangu,kuna wanafurahi humu hatari.Daah nimeumia ila ndo matokeo mkuu
Hahahaaaa. Kapakatwa mtu huko. Teh tehNaskia tu ziiiiiiiiiiiiiii
Cjui kuna nn jmn
Haa haa haa et n mwendo wa ziiiiiiiiiiiiiiiHahahaaaa. Kapakatwa mtu huko. Teh teh
[emoji17][emoji17][emoji17]Pole mhanga mwenzangu,kuna wanafurahi humu hatari.
Kamuulize Mzee Akilimali aka Akilimzigo. Shuwainiiii!Kwanza poleni Ndugu zangu Wana Simba. Lile goli la kwanza alilofungwa Simba ni kosa la nani?.
Mkuu hao wanavyoshangilia utafikiri walishinda kumbe walishashindwa siku nyingiWewe kweli unaujua mpira
Hahahaaa. Lol.Haa haa haa et n mwendo wa ziiiiiiiiiiiiiii
The the gormahia co wakimchezo
Acha wanaume twende London bhana
Dada zetu warud tu bongo kuuza sket
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Tumepokea mkuu asiyekubali kushindwa si mshindaniSimba 0-mahia 2