SportPesa Super Cup: Singida United yawa mshindi wa 3! Simba yapigwa 2-0 na Gor Mahia, yawa mshindi wa 2

Mkuu hao wanavyoshangilia utafikiri walishinda kumbe walishashindwa siku nyingi
Ndio utani wa jadi huo Shoga. Au hujui mpira weyeeee.

Tunalijua hilo ndio sababu tuko hapa kuwaangalia watani zetu. Hivyo tuliza nafsi mwaya ni utani tu huu wala hatupo serious.
 
Mwambie kama n moto sana
Amwagie maji bard[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Roho inaniuma shoga utabiri wangu umekua tofauti [emoji17][emoji17]
 
Hahahahaaaa. Itakuwa huyu haonagi tunavyopewaga madongo humu.

Ila tunayapokea tu sababu si ndio Utani wa jadi huo. Maana asipotutania Simba au sisi tusiwatania wanadhani kutakuwa na utani hapo.

Wakubali tu leo zamu yao wayapokee vikizidi wanywe maji kutuliza makoo. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahahaaa. Mkeka wako umechanika nini Mtani?

Pole mwaya ndio mpira huo. Hapa nauchonga tu wakati hao hao Gor tuna mechi nao huko mbeleni najua mtatuchamba wakitufunga ila wacha leo nifurahi tu. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Pole tena Mtani.
 
Haaa haa haa haa haa walaaaaah
Habr wameipata zam yao leo wakubali
Tu kuwa wamepatikana
 
Hahahaaa. Mkeka wako umechanika nini Mtani?

Pole mwaya ndio mpira huo. Hapa nauchonga tu wakati hao hao Gor tuna mechi nao huko mbeleni najua mtatuchamba wakitufunga ila wacha leo nifurahi tu. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Pole tena Mtani.
Hahaaa Ngoja nivumilie tu maumivu
 
Nilisema humu simba akichukua ubingwa kwa mpira ule Natuma maombi ya kupigwa life ban kwa moderators
 
Back
Top Bottom