Ndio utani wa jadi huo Shoga. Au hujui mpira weyeeee.Mkuu hao wanavyoshangilia utafikiri walishinda kumbe walishashindwa siku nyingi
Imetosha sasa watalia Mikia. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kocha wa Simba alisema kwamba waandae suti za kuvaa ulaya washachukua kombe [emoji16][emoji16][emoji16]
Mwambie kama n moto sanaNdio utani wa jadi huo Shoga. Au hujui mpira weyeeee.
Tunalijua hilo ndio sababu tuko hapa kuwaangalia watani zetu. Hivyo tuliza nafsi mwaya ni utani tu huu wala hatupo serious.
Roho inaniuma shoga utabiri wangu umekua tofauti [emoji17][emoji17]Ndio utani wa jadi huo Shoga. Au hujui mpira weyeeee.
Tunalijua hilo ndio sababu tuko hapa kuwaangalia watani zetu. Hivyo tuliza nafsi mwaya ni utani tu huu wala hatupo serious.
Hahahahaaaa. Itakuwa huyu haonagi tunavyopewaga madongo humu.Mwambie kama n moto sana
Amwagie maji bard[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hahahaaa. Mkeka wako umechanika nini Mtani?Roho inaniuma shoga utabiri wangu umekua tofauti [emoji17][emoji17]
Haaa haa haa haa haa walaaaaahHahahahaaaa. Itakuwa huyu haonagi tunavyopewaga madongo humu.
Ila tunayapokea tu sababu si ndio Utani wa jadi huo. Maana asipotutania Simba au sisi tusiwatania wanadhani kutakuwa na utani hapo.
Wakubali tu leo zamu yao wayapokee vikizidi wanywe maji kutuliza makoo. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaaa. Kabisaaaaaaa.Haaa haa haa haa haa walaaaaah
Habr wameipata zam yao leo wakubali
Tu kuwa wamepatikana
Hahaaa Ngoja nivumilie tu maumivuHahahaaa. Mkeka wako umechanika nini Mtani?
Pole mwaya ndio mpira huo. Hapa nauchonga tu wakati hao hao Gor tuna mechi nao huko mbeleni najua mtatuchamba wakitufunga ila wacha leo nifurahi tu. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pole tena Mtani.
Hahahaaa. Lol.Hahaaa Ngoja nivumilie tu maumivu
Nishapoa mtani mm mnyonge naisubir zamu yenuHahahaaa. Lol.
Nina imani utapoa Mtani.
Hahahaa. Kwa leo lazima uwe mnyonge Mtani wangu.Nishapoa mtani mm mnyonge naisubir zamu yenu
Sawa mkuu basi tutajumuikaHahahaa. Kwa leo lazima uwe mnyonge Mtani wangu.
Uje tu siku hiyo mwaya wala usisite. Mie pia nitakuwepo Insha Allah.
Tuombe uzima tu.
KaribuSawa mkuu basi tutajumuika
0-0 FT.ova.Simba vs Gor mahia,ngapi ngapi wakuu?