Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
Tulieni dawa iingie, kwani wakati zinapigwa penati na kushangilia ujinga walikuwepo?Simba bila Okwi, Boko na Kwasi hamna matumaini makubwa
Hahahaaa unavojipa moyo! Huwajui Simba wewe HajarKwa Gor hii wacha mkeka wangu uchanike tu kwa kweli. Niko radhi kabisaaa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wale Wajaluo wamesema hawajaenda pale kukimbia dkk 90 kujiandaa na penatiWakati wanasubiri penati zao watadungwa la pili .
Hahaaa. Lol.Hahahaaa unavojipa moyo! Huwajui Simba wewe Hajar
Haswaaa, hapo umenena yaliyo sawa na haki bibie, tusubiri dk 90 ndio mwamuzi na msema kweliHahaaa. Lol.
Tusubiri tuone Sesten
Ewaaaaaa.Haswaaa, hapo umenena yaliyo sawa na haki bibie, tusubiri dk 90 ndio mwamuzi na msema kweli
Hapana mkuu,kizuri kinaonekana mapema tu. Kuna ‘uzi’ ulianzishwa humu nikasema kitu hiki hiki. Mo Rashid hakuwa aina ya mchezaji anayehitajika kikosini.Mbn mapema mno kuanza lawama
Hahaha ,ndio timu iliyosajiliwa hy vumilia tuHapana mkuu,kizuri kinaonekana mapema tu. Kuna ‘uzi’ ulianzishwa humu nikasema kitu hiki hiki. Mo Rashid hakuwa aina ya mchezaji anayehitajika kikosini.
Mpaka kipindi cha kwanza kinamilika,Inaonekana wazi Simba ni timu ambayo haina muunganiko mzuri kuanzia beki mpaka ushambulizi.
Haya mambo yanaudhi na kukera mkuu. Mpira mbovu kupita maelezo. Hata pasi 5 hazifiki zilizopigwa kwa mpigo.Hahaha ,ndio timu iliyosajiliwa hy vumilia tu
Kwa sasa hakuna baya litalofanywa na uongozi wa Mikia likaonekana na mbumbumbu, sababu mgumba kazaa hivi karibuni. Ngoja mkarukeruke huko nje, mkirudi tukawapumzisha miaka mingine mi5 ndio utajua kuwa sio kila fainali inaamuliwa kwa matokeoHapana mkuu,kizuri kinaonekana mapema tu. Kuna ‘uzi’ ulianzishwa humu nikasema kitu hiki hiki. Mo Rashid hakuwa aina ya mchezaji anayehitajika kikosini.
Mpaka kipindi cha kwanza kinamilika,Inaonekana wazi Simba ni timu ambayo haina muunganiko mzuri kuanzia beki mpaka ushambulizi.
This is thimbaaaaa buana!Haya mambo yanaudhi na kukera mkuu. Mpira mbovu kupita maelezo. Hata pasi 5 hazifiki zilizopigwa kwa mpigo.
Watasema timu mpya ,vijana hawajazoeanaHaya mambo yanaudhi na kukera mkuu. Mpira mbovu kupita maelezo. Hata pasi 5 hazifiki zilizopigwa kwa mpigo.
Shida yako ushaleta ushabiki wa Uyanga na Usimba.Kwa sasa hakuna baya litalofanywa na uongozi wa Mikia likaonekana na mbumbumbu, sababu mgumba kazaa hivi karibuni. Ngoja mkarukeruke huko nje, mkirudi tukawapumzisha miaka mingine mi5 ndio utajua kuwa sio kila fainali inaamuliwa kwa matokeo
Hahahaa. Lol.Mikia wanaongoza 2 hukoo hahaha