SportPesa Super Cup: Singida United yawa mshindi wa 3! Simba yapigwa 2-0 na Gor Mahia, yawa mshindi wa 2

Mbn mapema mno kuanza lawama
Hapana mkuu,kizuri kinaonekana mapema tu. Kuna ‘uzi’ ulianzishwa humu nikasema kitu hiki hiki. Mo Rashid hakuwa aina ya mchezaji anayehitajika kikosini.
Mpaka kipindi cha kwanza kinamilika,Inaonekana wazi Simba ni timu ambayo haina muunganiko mzuri kuanzia beki mpaka ushambulizi.
 
Hahaha ,ndio timu iliyosajiliwa hy vumilia tu
 
Simba eti wanamtegemea kichuya ambaye anapiga vishuti mbuzi, huu ni ujinga
 
Hapana mkuu,kizuri kinaonekana mapema tu. Kuna ‘uzi’ ulianzishwa humu nikasema kitu hiki hiki. Mo Rashid hakuwa aina ya mchezaji anayehitajika kikosini.
Mpaka kipindi cha kwanza kinamilika,Inaonekana wazi Simba ni timu ambayo haina muunganiko mzuri kuanzia beki mpaka ushambulizi.
Kwa sasa hakuna baya litalofanywa na uongozi wa Mikia likaonekana na mbumbumbu, sababu mgumba kazaa hivi karibuni. Ngoja mkarukeruke huko nje, mkirudi tukawapumzisha miaka mingine mi5 ndio utajua kuwa sio kila fainali inaamuliwa kwa matokeo
 
Shida yako ushaleta ushabiki wa Uyanga na Usimba.
 
Back
Top Bottom