SportPesa Super Cup: Singida United yawa mshindi wa 3! Simba yapigwa 2-0 na Gor Mahia, yawa mshindi wa 2

Gor Mahia wako vzr timu imevuka makundi haijavurugwa ktk kikosi chao cha kwanza ,Simba wameivuruga timu hadi kocha ...
 
Walionifurahisha ni wanenguaji wa Kikenya baaaaas!
 
Simba mchezo wao ni butua butua tu, mpira utakaomkuta wa mbele afunge, hawana formula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…