Yap hapo ndiyo tutaelewa nguvu ya timu ya wananchiNaiona yanga ikicheza na lukaku huku simba ikienda matopeni
Vipi kwako TBC inafaa?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Simba lazima wachukue hili kombe
Haaooo simba wameingia barabarani kuandamanaHawaamini hii kitu...
Nakuru all star ni Timu ya Daraja la pili kenyaYou can't be serious... Mods njooni muone huku.
mbao Daraja la piliHata mbao walioipiga yanga mechi mbili mfululizo ni timu ya daraja la pili...najua hujui kuwa mbao in timu ya daraja lapili iliyopo ligi kuu...ref;jinsi mbao walivyopandishwa daraja
Ahahahhaaaaa....aiseee umenichekesha sana....dungulu........Kuna dungulu moja lina S kubwaaaa likianza kisha replay ikija ushachoka kutazama mpira