demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Yule refa wa pale Dodoma nikimuona namchinja .....Simba kama referees wanatoka nje ya nchi basi ujue hakuna wanachokiweza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule refa wa pale Dodoma nikimuona namchinja .....Simba kama referees wanatoka nje ya nchi basi ujue hakuna wanachokiweza
Pole sana mkuu ITV wako vizuri
Kweli kabisa mkuu mnyama asubirie mashindano ya wanyamaMpaka sasa Yanga ndie muakilishi pekee wa mashindano ya ndani na nje ya Tz
Labda ubingwa wa kukata rufaa na maandamanosimba wamechukuwa kombe la sport Pesa,au wameenda kukata rufaa FIFA?this is simba tunaenda taifa kukata rufaa sisi hatuuwezekani.hhahs @manara yupo wapi?
Vipi kwako TBC inafaa?Ooh Mola wangu, kweli hatufanani.
Mnyama yupi yani. Swala,tembo,fisi,pundamilia au nyati?Kombe la mnyama Simba hili
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji57] [emoji57] [emoji57] bingwa wa nini?Sijaona mpira kabisa, nasubiri mechi ya Bingwa Simba SC na Everton
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jaman wengine sie tunapumulia gas msiwe mnatuchekesha kias hiki*Naskia Penati alopiga Goalkipa wa Simba Daniel Agyei imeokotwa Posta*
Leo kiliwashinda nini kugawa rupia?Mimi nilishaondoka huko Frank,hata post zangu hapo juu zinakuonyesha. Ila nawahurumia wapenzi wa simba kwa timu yao kuendeshwa na Mangungo. Siwezi join yanga maana wote nyie ni matimu ya siasa. Hamushindi bila rupia.
Teeeeeeeeeh teeeeeeeeeh naona manara hapatikani tweeter[emoji1] [emoji1] [emoji1] mkuu huyo alieokota Mwambie hans popo anaitafuta huku
Labda ubingwa wa kukamata sungura tayari simba wapo njiani kwenda FIFA kukata rufaa tena kwa maandamanoMnyama yupi yani. Swala,tembo,fisi,pundamilia au nyati?
Wa maandamano kama hapo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji57] [emoji57] [emoji57] bingwa wa nini?
Mkuu ukicheka kwa raha mungu atakusamehe[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jaman wengine sie tunapumulia gas msiwe mnatuchekesha kias hiki
Wamezoea waswahili lkn waamuzi wa michuano hii ni kutoka nje