SPORTPESA SUPER CUP SPECIAL THREAD: Taarifa za Mechi zote na matokeo yote mpaka Ubingwa

SPORTPESA SUPER CUP SPECIAL THREAD: Taarifa za Mechi zote na matokeo yote mpaka Ubingwa

Mimi nilishaondoka huko Frank,hata post zangu hapo juu zinakuonyesha. Ila nawahurumia wapenzi wa simba kwa timu yao kuendeshwa na Mangungo. Siwezi join yanga maana wote nyie ni matimu ya siasa. Hamushindi bila rupia.
 
Nalisubiri chama langu a.k.a chama ka wana hapo kesho atakavyo mjambisha mtu mpaka kujiharishia
 
*Naskia Penati alopiga Goalkipa wa Simba Daniel Agyei imeokotwa Posta*
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jaman wengine sie tunapumulia gas msiwe mnatuchekesha kias hiki
 
Mnyama yupi yani. Swala,tembo,fisi,pundamilia au nyati?
Labda ubingwa wa kukamata sungura tayari simba wapo njiani kwenda FIFA kukata rufaa tena kwa maandamano
42450fe4f1ee68faf14ec16a6fbb00a6.jpg
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jaman wengine sie tunapumulia gas msiwe mnatuchekesha kias hiki
Mkuu ukicheka kwa raha mungu atakusamehe
 
Back
Top Bottom