NKULIKWA JICKSON
Member
- Apr 14, 2017
- 40
- 3
Kwa hiyo utakuwa ya ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fanyeni haraka aisee hahahaSijui twende tena FIFA?
Michuano ya SportsPesa Cup
#YANGA_Vs_TUSKER FC
All goals na Highlights 4-2 (Penalts)
YANGA Vs TUSKER FC, Mashabiki wa Yanga wamejaa Taifa kweli
Timu toka Tanzania zitakazokuwepo ni pamoja na Yanga, Simba Sc, Singida na Jang'ombe Boy's FC, Timu kutoka Kenya ni pamoja na Nakuru AllStar, AFCLeopard, Goh Maria na Tusker FC .
Mechi mbili zinatarajiwa kucheza kecho ni kati ya Yanga na Tusker saa 10:15 jioni na AFC Leopard na Singida FC saa 8:00 mchana
NAHODHA wa AFC Leopard akieleza jinsi walivyojiandaa na mchezo wao wa kesho dhidi ya Singida Fc
Kesho kutwa jumanne ni kati ya Simba na Nakuru AllStar saa 8:00 mchana na baadae saa 10:15 jioni ni Goh maria na Jang'ombe Boys FC.
![]()
Full Time 1-1
Leopard wamefuzu kwa penalt 5-4 dhidi ya Singida
![]()
Full time
Yanga 0-0 Tusker
Yanga anafuzu nusu fainal kwa
4-2 penalts
Full Time
Gor Mahia 2-0 Jang'ombe Boys
Gor Mahia wamefuzu nusu fainal
![]()
Simba imetolewa kwenye michuano kwa jumla ya penalts
5-4
![]()
Kwani simba inawachezaji wangapi?Hawo kina kichuya , Walusimbi , nawengineo wako timu za Taifa hivyo hawatakuwepo.
Kweli kabisa mkuu tayari simba leo wamewatia njaa nakuruSimba lazima wachukue hili kombe
Yanga inaongozwa na viongozi walioenda shulekwa hiyo Yanga hatuna mchezaji tunayemtehemea
Leo wamefungishwa virago ila wamekata rufaamavi ya mbuzi hawachukui kamwe
Pole sana mkuu ITV wako vizuriEti mechi zitaoneshwa live ITV [emoji23][emoji23][emoji23] Ngoja nisubiri spidi kali ya kamera moja ikifukuzana na mpira.
Azam wapo wanatwangana màngumiHahaa.. Hii kitu naisubiria. Labda pengine wamejipanga.
Ila najaribu kuwaza kwa maandishi. Ilishindikana kuwapa kazi Azam au dili lilikua la pesa kubwa.
Nakosa jibu
Ungewapa hiyo tenda AzamHawa ITV yaani bado sana kwenye kuonesha Mpira..picha mbovu..hakuna score board kwenye TV..bora wangewapa wenye fani yao Azam..by the way Singida wanaongoza goli moja.
Wale wenye kisimbusi cha Azam KTN ya Kenya wanaonesha vizuri zaidi.
Umelazimishwa?pesa zetu za ku bet
[emoji3][emoji23][emoji16][emoji23][emoji16]Fanyeni haraka aisee hahaha
HahahahahaSimba yafa kiume Leo.!Yapigwa na timu ya daraja la kwanza kutoka Kenya.Inaitwa Nakuru All Stars
Kweli ndio maana leo kashindaKombe la mnyama Simba hili