SPORTPESA SUPER CUP SPECIAL THREAD: Taarifa za Mechi zote na matokeo yote mpaka Ubingwa

SPORTPESA SUPER CUP SPECIAL THREAD: Taarifa za Mechi zote na matokeo yote mpaka Ubingwa

Hawa ndio wanalilia kupanda ndege kimataifa wakati timu ya Daraja la kwanza tena inayoshika nafasi ya 6 kwenye timu 7 inawapeleka puta na hatimae kuwafunga. Bora nafasi yao angepewa Kagera Sugar.
 
Michuano ya SportsPesa Cup
#YANGA_Vs_TUSKER FC
All goals na Highlights 4-2 (Penalts)


YANGA Vs TUSKER FC, Mashabiki wa Yanga wamejaa Taifa kweli

Timu toka Tanzania zitakazokuwepo ni pamoja na Yanga, Simba Sc, Singida na Jang'ombe Boy's FC, Timu kutoka Kenya ni pamoja na Nakuru AllStar, AFCLeopard, Goh Maria na Tusker FC .
Mechi mbili zinatarajiwa kucheza kecho ni kati ya Yanga na Tusker saa 10:15 jioni na AFC Leopard na Singida FC saa 8:00 mchana
NAHODHA wa AFC Leopard akieleza jinsi walivyojiandaa na mchezo wao wa kesho dhidi ya Singida Fc
Kesho kutwa jumanne ni kati ya Simba na Nakuru AllStar saa 8:00 mchana na baadae saa 10:15 jioni ni Goh maria na Jang'ombe Boys FC.
a587f601b6589f2dd763433215b380f0.jpg


Full Time 1-1
Leopard wamefuzu kwa penalt 5-4 dhidi ya Singida
513e599c51a551f9c431eb2e9cab4ecd.jpg

Full time
Yanga 0-0 Tusker

Yanga anafuzu nusu fainal kwa
4-2 penalts


Full Time
Gor Mahia 2-0 Jang'ombe Boys
Gor Mahia wamefuzu nusu fainal
511107b004890e7bf54bbf67f2307e2f.jpg

Simba imetolewa kwenye michuano kwa jumla ya penalts
5-4
2fb0613a28bbc48c08443fecc3e09d17.jpg

Wana msimbazi tayari kama kawaida kama dawa wameshaaga mashindano
 
Hawa ITV yaani bado sana kwenye kuonesha Mpira..picha mbovu..hakuna score board kwenye TV..bora wangewapa wenye fani yao Azam..by the way Singida wanaongoza goli moja.

Wale wenye kisimbusi cha Azam KTN ya Kenya wanaonesha vizuri zaidi.
Ungewapa hiyo tenda Azam
 
Simba yafa kiume Leo.!Yapigwa na timu ya daraja la kwanza kutoka Kenya.Inaitwa Nakuru All Stars
 
Back
Top Bottom