SPORTPESA SUPER CUP SPECIAL THREAD: Taarifa za Mechi zote na matokeo yote mpaka Ubingwa

SPORTPESA SUPER CUP SPECIAL THREAD: Taarifa za Mechi zote na matokeo yote mpaka Ubingwa

SIMBA SPORT CLUB OUT


SIMBA SPORT CLUB OUT



SIMBA SPORT CLUB OUT



SSC OUT, SSC OUT, SSC OUT
 
Hata mbao walioipiga yanga mechi mbili mfululizo ni timu ya daraja la pili...najua hujui kuwa mbao in timu ya daraja lapili iliyopo ligi kuu...ref;jinsi mbao walivyopandishwa daraja
 
Hawaamini hii kitu...
Haaooo simba wameingia barabarani kuandamana
8f91b27fd91588c4fe89295647291a33.jpg
 
Halafu kuna tatizo nimeliona kwenye ubandikaji wa bao la kuonesha dakika. Yaani eti wao ikishafika dakika 45 au 90 ndio mwisho hapo hapo inaganda hawaendelei mpaka waone bango la waamuzi kuonesha dakika, ndipo wanaanza kuhesabu dakika za nyongeza. Madhara yake ni kwamba dakika za nyongeza za mwamuzi zimeisha na kupuliza kipyenga lakini wao dakika za nyongeza za kwenye bango la itv bado zinaonesha bado dakika moja au dakika moja na nusu ziishe.
 
Kwa gem updates bado sana ata mtu akipewa kadi hawaoneshi update kwa upole tu ningeomba wawaruhusu azam waoneshe izi gem ili tule uhondo ka wa vpl
 
Back
Top Bottom