SPORTPESA SUPER CUP SPECIAL THREAD: Taarifa za Mechi zote na matokeo yote mpaka Ubingwa

Simba hawajacheza vizuri hasa beki na ushambuliaji. Atanasi hafai kabisa kwa anavyokosa magoli kila siku. Simba wanatakiwa kuwa na mtu mwenye uwezo wa kufunga. Aidha vijana wapya wameweza kucheza vizuri kwenye nafasi zao.
 
Kuna dungulu moja lina S kubwaaaa likianza kisha replay ikija ushachoka kutazama mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…