SPORTPESA SUPER CUP SPECIAL THREAD: Taarifa za Mechi zote na matokeo yote mpaka Ubingwa

Hata mbao walioipiga yanga mechi mbili mfululizo ni timu ya daraja la pili...najua hujui kuwa mbao in timu ya daraja lapili iliyopo ligi kuu...ref;jinsi mbao walivyopandishwa daraja
Nasikia simba jioni hii tayari wameshakata rufaa kwa matokeo haya
 
Angalia
Timu ya Simba imecheza bila ya wachezaji wake kumi na moja. (11)
Nakuru imewatumia wachezaji wake wote.
Huoni kasoro hapo ?

Yaani wakati timu kongwe za Kenya zinacheza na wachazaji wake wote,
Timumu kubwa za TZ zinacheza bila wachezaji nyota wake, huoni kama kuna ka njama kamefanyika hapo ili kombe liende Kenya ?
Nasema ili kuleta ushindani wa kweli, ligi ya Sport Pesa ingefanyika wakati timu zina wachezaji wake wote.
Hasa mwanzoni kabla ya msimu kuanza.
Ili kutoa mshindi sahihi.
Sio kwa kuvizia kama hivi.
Huna hoja wewe.kazi yenu kulalama tuu nendeni tena FIFA mkadai point za mezani.
 
Angalia
Timu ya Simba imecheza bila ya wachezaji wake kumi na moja. (11)
Nakuru imewatumia wachezaji wake wote.
Huoni kasoro hapo ?

Yaani wakati timu kongwe za Kenya zinacheza na wachazaji wake wote,
Timumu kubwa za TZ zinacheza bila wachezaji nyota wake, huoni kama kuna ka njama kamefanyika hapo ili kombe liende Kenya ?
Nasema ili kuleta ushindani wa kweli, ligi ya Sport Pesa ingefanyika wakati timu zina wachezaji wake wote.
Hasa mwanzoni kabla ya msimu kuanza.
Ili kutoa mshindi sahihi.
Sio kwa kuvizia kama hivi.
Bokungu

Luizio

Ageyi

MO

Wote hawa walikuwa regular first 11 players kwenye msimu uliopita.

Msilete visingizio hapa...
 
Angalia
Timu ya Simba imecheza bila ya wachezaji wake kumi na moja. (11)
Nakuru imewatumia wachezaji wake wote.
Huoni kasoro hapo ?

Yaani wakati timu kongwe za Kenya zinacheza na wachazaji wake wote,
Timumu kubwa za TZ zinacheza bila wachezaji nyota wake, huoni kama kuna ka njama kamefanyika hapo ili kombe liende Kenya ?
Nasema ili kuleta ushindani wa kweli, ligi ya Sport Pesa ingefanyika wakati timu zina wachezaji wake wote.
Hasa mwanzoni kabla ya msimu kuanza.
Ili kutoa mshindi sahihi.
Sio kwa kuvizia kama hivi.
Nakuru All Stars inashiriki ligi daraja la kwanza ya Kenya siyo ligi kuu, lakini wamewalamba Simba.
 
Rufaa ya Simba dhidi ya Nakuru All Stars imeishatua FIFA.

Madai yao makubwa ni kwamba haikuwa halali kucheza na timu ya daraja la pili.
Na penalty kupigwa upande mmoja tu, golikipa wao hakupiga penalty, refa alimaliza mchezo dak ya 91 badala ya 92, mechi ilichezwa muda tofauti na timu zingine tena siku tofauti. Tanzania ilikuwa na timu 3 kwani Jang'ombe Boys ni ya Z'Bar ambao ni wanachama wa CAF na mwisho Nakuru All Stars ilichezesha wachezaji wa kombaini badala ya timu yao ya daraja la pili. Naona watapeta kwa ushahidi huu.
 
hahaha.umeaahau moja msemaji wetu kafungiwa kujihusisha na mchezo asingefungiwa tungeahinda kwani ile mitusi yake tu sisi ndio tunapata nguvu ya ushindi
 
Ila simba bana jamaa viliingia kama special sana vikajua nakuru ni mbao au hawakuambiwa marefa wametoka nje hawajui thamani ya shilingi
 
Back
Top Bottom